Unknown Unknown Author
Title: NGUVU YA KAMERA:CHIMBUKO LA SIKU YA WATOTO DUNIANI!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Picha iliyopigwa na Sam Nzima , ikimuonyesha mtoto Hector Pieterson ambae aliuwawa na Polisi wa Afrika ya Kusini akiwa na miaka 13; Mwil...

Picha iliyopigwa na Sam Nzima, ikimuonyesha mtoto Hector Pieterson ambae aliuwawa na Polisi wa Afrika ya Kusini akiwa na miaka 13; Mwili wa Hector ulibebwa na mwanafunzi mwenzake huku dada yake akifuata.

Hiyo ndio picha ya kwanza iliyopigwa na kusambaa Duniani kote ikionyesha mauji ya hayo na mpaka sasa inatumika kama nembo ya kipekee kukumbuka tukio la Mauaji ya Soweto (Soweto Uprising of 16,June, 1976).

Tafakari yangu binafsi:: Naam;Wazee wa 
Picha za stili na Mnato

Kamera ni silaha,
Ni shahidi namba moja,
Hufupisha sana ujumbe mpana,

Haiyumkiniki kuna watu wana chukia kutunza kumbukumbu kwa njia ya picha kwa sababu wanatamani kutengeneza UKWELI.
Tutumie picha ili kuendelea kutunza uhalisia wa maisha tunayo yapitia,
Maana katika haya kama sio sisi wenyewe basi vizazi vijavyo vitajifunza jambo.

Mjumbe sr

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top