Nyota wa zamani wa Barcelona na timu ya Taifa ya Cameroon, Samuel Eto’o, juzi ameuaga ukapera kwa kufunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi, Georgette Tra Lou, kwenye harusi iliyofungwa nchini Italia.
ETO'O APATA JIKO!

Post a Comment