TUNZO YA MO IBRAHIM KWA MWAKA WA PILI MFULULIZO IMESHINDWA KUTOLEWA KA KIONGOZI BORA BARANAI AFRIKA
Wakfu wa Mo Ibrahim unaojihusisha na masuala ya kuhamasisha kuhusu Uongozi na utawala bora barani Afrika kwa mara nyingine umeshindwa hii leo kumtangaza mshindi wa mwaka 2015 wa tuzo yake ya mafanikio ya Uongozi bora barani humo inayotolewa kila mwaka
Post a Comment