'Ndugu zangu mashabiki wa mpira wa miguu wanachama na wapenzi mashabiki wa Yanga, mashabiki wa Simba, mashabiki wa Mtibwa mashabiki wa Azam, mashabiki wa Toto africa''
Kama ilishawahi kutokea sehemu yanga wakaenda kushangilia Tp mazembe na kwa kuwa tunajua kumbukumbu zinaonyesha hivyo na kuna picha zinaonyesha hivyo basi sisi kwa niaba ya wanachama wetu na kwa niaba ya wapenzi wetu tunaomba radhi kwa kitendo hichoo!!
Jeri Muro
Chanzo: EFM redio.
Post a Comment