Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Mhe. Edward Lowassa leo Jumatatu 27/06/2016 amewafuturisha wakazi waishio katika jiji la Dar es salaam wakiwemo viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali.
C&P
Picha zaidi...!
Mhe.Edward Lowasa akiteta jambo na baadhi ya viongozi waandamizi wa CHADEMA katika viwanja hivyo
Mhe.Edward Lowassa akishiriki katika futari na baadhi ya wakazi na viongozi waandamizi jijini Dar es salaam 27 June 2016
m
Picha zaidi
Post a Comment