Friday, 3 April 2015

SIMBA SC YAPATA MSIMBA MZITO!


Ni gari iliyo kuwa ikitumiwa na Mashabiki wa Simba sc baada ya kupata ajali.

Klabu ya soka ya simba Sc yenye maskani yake mapya pale bunju,Leo ime wapoteza mashabiki wake watano ambao wame pata ajali Mkoani Morogoro.Wakati wakisafiri na gari binafsi kuelekea Shinyanga ili kuvaana na Kagera Sugar wanao tumiwa uwanja wa CCM KAMBARAGE kama uwanja wao wa nyumbani.



Ni Msiba Mzito na Kwa Simba na Taifa kwa Ujumla wake.
POLENI WATANZANIA!
POLENI SANA MASHABIKI WA SIMBA.





Tutembelee MJUMBE BLOG
Kwa picha,Matukio,Habari,Matangazo,Taarifa kila mara.

No comments:

Post a Comment