Friday, 3 April 2015

REJEA YETU LEO:JUA LINAPO ZAMA


Picha Mali ya Lawrance Mgoyo

Naam;
Jua linapo zama!

Jua Linapo zama Sisi akili zetu Ziibuke!
Maana kama Tukizama katika KUFIKIRI Kwetu kama jua lilee...
Anatakaye washa Kurunzi au kandiri ni ishara ya kutokubari kuongozwa na jua!! Ishara ya Kuendeleza mapambano...
Ishara ya Nuru ya matumaini!!
Ishara ya USHINDI.


Ilipasa kuhakiki kama taa zetu zina mafuta kabla jua halija zama...

Maana tuna Msubiri Mshereheshaji atoe rai kuwa:

Natuzi washe taa zetu sasa!
Ili Tujiandae kumpokea bwana harusi...


Wenu;
Mtembea bure.
Ludewa
Njombe

No comments:

Post a Comment