Friday, 3 April 2015

TAHARUKI:JENGO LA UDSM LAFUKA MOSHI!


Jengo hilo likiwa lina toa moshi kama Munasa tukio wetu alivyo shuhudia.


Baadhi ya mashuhuda na waokozi wakiwa wamesha wasiri ndani ya jengo ambalo lilikuwa chanzo cha moshi huo.


Mdau wetu wa MJUMBE BLOG amekaririwa akisema:


"... Hiii imetokea sahizi udsm_Main Campus venue ya kusomea iitwayo yombo lmetokea shot ya umeme bado sijapata chanzo ni nn,Kutoka kwa wasemaji wa chuo lakini inasemekana nishot ya umeme,Kutoka kwa mashuhuda walio kuwepo eneo la tukio..."


Moshi huo ume zua taharuki kwa baadhi ya mashuhuda walio kuwepo eneo la tukio!

Hii Tukio ambalo lime tokea siku chache tu baada ya Mashambulizi ya Kigaidi kutokea katika moja ya chuo kikuu kilichopo nchini Kenya,Kilicho mpakani mwa Kenya na Somalia.
Ambapo watu zaidi ya mia moja wame poteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa.
Shambulizi ambalo lime acha simanzi kubwa nchini Kenya na Ulimwengu kwa ujumla wake.



Tembelea MJUMBE BLOG Kwa picha,Matukio,Habari,Matangazo kila mara.

No comments:

Post a Comment