Kamati ya uongozi chama cha mapinduzi (CCM) imempitisha Waziri wa Afrika Mashariki,Samuel Sitta kwa kauli moja kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Bunge maalum la katiba
Pia kamayi hiyo imemteua Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais(Muungano),Samia Suluhu kuwa mgombea wa nafasi ya Makamu mwenyekiti wa Bunge hilo.
Taarifa kutoka ndani ya kikao cha akamati hiyo zimebainishwa kuwa Andrew Chenge aliyekuwa akitajwa kugombea nafasi ya mwenyekiti ,amejitoa mwenyewe kwa hiari.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo,baada ya kanuni za Bunge kupitishwa,utaratibu wa kuchukua fomu uttangazwaambapo Sitta atakwenda kuchukua na kuwa mgombea pekee CCM.
Na Mjumbe Jr
Mbozi
Post a Comment