Unknown Unknown Author
Title: SOMA ALICHO SEMA EDO KUMWEMBE KUHUSU KINACHO ENDELEA KWENYE BUNGE MAALUM LA KATIBA;DODOMA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
...Huyu anaongea kama yule..yule anaongea kama huyu..mifano ile ile, akili zile zile...kwanini wasipitishe wanachofikiri kisha wakahami...

...Huyu anaongea kama yule..yule anaongea kama huyu..mifano ile ile, akili zile zile...kwanini wasipitishe wanachofikiri kisha wakahamia katika vifungu vingine? Naamini kwa sasa Dodoma ndio sehemu pekee duniani ambayo watu wamefanana kila wanachofikiri....zaidi ya China...zaidi ya kwingineko. Upotevu wa pesa na muda.....kwanini Mheshimiwa Mwenyekiti asijumuishe kwa kusema 'Jamani wote tunahafikiana kwa jambo moja wanaosema ndioooo waseme ndioo'....

MJUMBE Sr

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top