Unknown Unknown Author
Title: TASWIRA YA MIUNDO MBINU:KUELEKEA KIJIJI CHA ISAPULANO MAKETE!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha wilayani Makete zimeharibu barabara hii kama unavyoona, hapa ni kijiji cha Isapula...

Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha wilayani Makete zimeharibu barabara hii kama unavyoona, hapa ni kijiji cha Isapulano ambapo mvua imeharibu barabara hii kiasi cha kusababisha mabasi na malori kubadilisha njia na kupita kijiji jirani cha Ivalalila, hapa yanapita magari madogo tu tena yenye 4 wheel ambao nayo yanapita kwa tabu. 
Hali hii amekutana nayo mwandishi wetu wakati akielekea kwenye uzinduzi wa wiki ya chanjo wilaya ya Makete ambayo imezinduliwa kiwilaya katika kijiji cha Isapulano..(Picha na Edwin Moshi)
 
MJUMBE Sr

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top