Unknown Unknown Author
Title: KUHUSU DIAMOND:KILA SIKU ANA STORI MPYA MITANDAONI;SOMA HII YA DURBAN,SAUZI!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Wakati anasubiri Tuzo za MTV, Diamond Ameweka Rekodi Nyingine Twitter Wakati akijiandaa na tuzo za MTV, Diamond Platinumz amekupiga...


Wakati anasubiri Tuzo za MTV, Diamond Ameweka Rekodi Nyingine Twitter
Wakati anasubiri Tuzo za MTV, Diamond Ameweka Rekodi Nyingine Twitter



Wakati akijiandaa na tuzo za MTV, Diamond Platinumz amekupiga hatua nyingine kwenye katika mtandao wa kijamii wa Twitter baada ya akaunti yake kuwa verified leo.
dd
Hivi sasa Diamond kama msanii wa kimataifa ana kila haki ya kuwa mmiliki halali wa akaunti yake hiyo yenye followers zaidi ya 84, 400.
Diamond anaungana na wasanii wengine kama AY kama wasanii wa bongo fleva ambao akaunti zao za Twitter zimekuwa Verified.

SOMA ZAIDI......

Picha Zote Za Diamond Akichagua Nguo Kwaajili Ya Mazoezi Ya Show

Diamond amewasili Durban kwaajili ya tuzo hizi June 8 2014 na Moja kwa moja alielekea mahali ambapo Tuzo za Mtv za Africa zitafanyika ambapo ni Icc Arena Mjini Durban. Hapa alikuwa akichagua nguo za kufanyia Reheasel.
DSC_0169 DSC_0174 DSC_0175 DSC_0176 DSC_0177 DSC_0178 DSC_0179 DSC_0180

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top