Hakuna mechi inayoendelea.. hawa ni wasailiwa zaidi ya 10800 wakiwania nafasi 70 tu za ajira Uhamiaji!
Unaweza kuona tatizo kubwa la ajira..
Unaweza kuona namna elimu yetu isivyoaminika kwasababu huwezi kusaili maelfu ya watu waliohudhuria shule ili tu kupata watu 70 wa kuwaajiri... kuita wote hivi ni sawa na kutoamini uwezekano wa kupata 70 bora kati ya 100!!

Post a Comment