PICHA:MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE AMPOKEA MALKIA NOMSA MATSEBULA WA SWAZILAND!
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimpokea Malkia Nomsa Matsebula wa Swaziland kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere
Malkia Nomsa Matsebula wa Swaziland akipokea ua mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiongea na mgeni wake Malkia Nomsa Matsebula wa Swaziland wakati wakielekea kupanda magari kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere tarehe 1.7.2014.
MJUMBE Sr
01
Jul
2014
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.