UHASIMU NA LUGHA CHAFU BAINA YA MADEREVA UMESABABISHA UHARIBIFU HUU...
Hapa tena ni maeneo ya stendi ya mabasi mlowo na kama inavoonekana pichani gari la abiria likiwa limegongwa sehemu ya mbele kabisa
Mashuhuda wamesema kuwa chanzo cha accidenti hii ni uhasimu wa madereva hawa walipokuwa njiani kabla ya kufika eneo hili na nilipojaribu kuuliza zaidi nkaambiwa dereva wa gari la abiria alitoa lugha ya matusi na kumnyima njia dereva wa gari kubwa na ndio sasa dereva huyo kumgonga kwa makusudi..
Na Mjumbe Jr
Mlowo
Post a Comment