Hii ni hatua ambayo kila kijana wa kiume lazima apitie kuelekea utu Uzima!
Ina itwa "Wanyamuluzi ni neno la Kikaguru lenye maana ' Mwanaume aliye Tahiliwa'
~ Credit:Salim Yusuf Mpanda
Naam;
Sisi kama Taifa Tuna iita;
TOHARA!
Mwanaume Kuwa Msafi!
Kutahiri Kuna Manuufaa mengi zaidi kuliko Kubaki bila tohara.
>Kuepusha na kupunguza kasi ya Magonjwa
>Kujiamini
>Kufura hia tendo zaidi
>Kupunguza kwa Zaidi ya 60% uwezekano wa kupata Ukimwi
>Ni Usafi
>Kuzuia Michubuko Wakati wa tendo la ndoa
>Kudumisha Mila na tamaduni Zetu,Kwani huashiria hatua flani ya Kimaisha kwa kila Kijana katika baadhi ya jamii.
ANGALIZO:
Epuka Kutumia Vitu vyenye ncha kali vilivyo tumiwa na Mwingine!
Kila Mmoja yampasa atumie Kifaa chake kwa Tahadhari na Umakini ili kuyo hamishiana Maambukizi kati ya mtu na Mtu.
SIHA NA TUNU ILIYO NJEMA HUTUNZWA ILI ISTAWI KWA MANUFAA YA JAMII NZIMA!
Tuutunze Utamaduni huu.
LIKE Ukurasa wetu wa MJUMBE BLOG au Tutembelee Mara kwa mara Mtandaoni kwa Kuandika MJUMBE BLOG ili upate picha,Matangazo,Habari mpya na Taarifa Muhimu.
©Mjumbe Blog Volunteers.

Post a Comment