
Msanii YP toka kundi la TMK amefariki Dunia jana isiku katika hospitali ya TMK ambako alikuwa akisumburiwa na kifua,Lakini Hali yake ili kuwa mbaya zaidi wiki Mbili kabla ya Kifo chake.
Meneja wa TKM ame thibitisha kutokea kwa Msiba huo! Msiba wa msanii huo uko keko nyumbani kwa baba yake.
RIP YP!
LIKE ukurasa wetu wa MJUMBE BLOG facebook au Tutembelee Mtandaoni kwa Kuandika MJUMBE BLOG kisha ingia hapo upate Picha,Matangazo,Taarifa Mpya na Habari Muhimu mara kwa Mara.
©Mjumbe Blog Volunteers
Post a Comment