Unknown Unknown Author
Title: FAHAMU:KILEVI CHA TAJWA KWENYE SODA,KIPO KWENYE CHAI,TUMBAKU NA POMBE PIA!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Pichani ni Ushahidi Unao onesha katika Kinywaji cha COCA Kuna COFEIN, Ellen White, Ame vitaja baadhi ya vitu ambavyo kama jamii ime zoea...

Pichani ni Ushahidi Unao onesha katika Kinywaji cha COCA Kuna COFEIN,

Ellen White,
Ame vitaja baadhi ya vitu ambavyo kama jamii ime zoea kuvitumia Lakini vina Kilevi hicho cha Cafein kuwa ni Pamoja na Sigara,Pombe,Tumbaku...
Ame thibitisha katika maandiko yake kuwa utumiaji wa bidhaa hizo huathiri tabia na Uwezo wake kiakili kwa mtumiaji.

1884,Ellen White ali bainisha kuwa Tisa kati ya watoto kumi afya zao za kimwili na Akili Zime athiriwa na Mlo wao wa kila siku,
Alama Mbovu na Usomaji hafifu uliongezeka mara dufu tu pale Walipo boreshewa Mlo wao.



DOKEZO LA AFYA:
KINGA ni bora kuliko Tiba.

Epuka matumizi ya Tumbako,Sigara,Pombe hata Soda/Coca ambazo kitaalam zime tajwa kuwa na Kilevi cha Cafeine.
Kwa afya yako ya Mwili,Roho na Akili.




LIKE ukurasa wetu MJUMBE BLOG facebook ili Upate Taarifa mpya,Habari muhimu,Matangazo,Picha na Stori za hapa na pale kila mara.



©Mjumbe Blog Bolunteers

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top