Unknown Unknown Author
Title: PICHA NA MALEZO:SIKU YA KUNAWA MIKONO DUNIANI!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kibuyu mchirizi kwa ajili ya kunawa mikono,chenye maji safi na Salama. Picha ili pigwa Shule ya Msingi Nyololo. Shule hii ilichaguliwa ...

Kibuyu mchirizi kwa ajili ya kunawa mikono,chenye maji safi na Salama.

Picha ili pigwa
Shule ya Msingi Nyololo.

Shule hii ilichaguliwa kutekeleza kampeni ya
kitaifa ya usafi wa mazingira, matumizi ya maji safi
vyooni na afya shuleni (SWASH).
Shule ya msingi Nyololo ilianzishwa tarehe
02.01.1961 na kwa sasa inajumla ya wanafunzi
366 wakiwemo wavy kana 200 na wasichana 166
na walimu waliopo ni kumi na moja.
Wiki ya usafi wa mazingira nchini ilianza tarehe
13.11.2014 na kilele kitakuwa tarehe 19.11.2014.
Picha hii ni mali ya MJENGWA blog




LIKE page yetu MJUMBE BLOG facebook au Tutembelee Mtandaoni Andika MJUMBE BLOG ili Uji Update kila mara.

©Mjumbe Blog Volunteers

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top