

Basi la Sai Baba Express limepata ajali eneo la
Pingo, Chalinze leo asubuhi baada ya kutaka
kulipita basi lingine wakati mvua ikinyesha na
kupelekea basi hilo kupinduka. Basi hilo
lilikuwa linatokea Dar likielekea mkoani Mbeya.
kwa taarifa za mapema zinasema kuwa akuna
mtu aliyefariki katika ajali hiyo.
LIKE page yetu MJUMBE BLOG au Tutembelee Mtandaoni andika MJUMBE BLOG ili Upate picha,Matangazo,Habari mpya,Taarifa muhimu kila mara.
©Mjumbe Blog Volunteers
Post a Comment