Unknown Unknown Author
Title: ZIJUE SABABU HAPA:WASOMI WA CHUO KIKUU CHA ST.JOHN WAGOMA!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kuna taarifa zimetufikia kwamba Chuo Kikuu cha St John leo kime kumbwa na Mgomo ambao Ume daiwa kuwa ume sababishwa na... "Walimu h...

Kuna taarifa zimetufikia kwamba Chuo Kikuu cha St John leo kime kumbwa na Mgomo ambao Ume daiwa kuwa ume sababishwa na...


"Walimu hakuna waliopo hawana sifa....kutokusoma baadh ya koz tangu chuo kimefunguliwa......kufelishwa kwa baadh ya wanafunz.....wasichana kuombwa rushwa za ngono....mazingira mabovu ya kufundishia na kujisomea.....nk"

Mnyetishaji huyo Ame bainisha.





LIKE page yetu MJUMBE BLOG facebook au Tutembelee Mtandaoni Kwa Kuandika MJUMBE BLOG kisha ingia hapo upate picha,Matangazo,Habari mpya,Taarifa Muhimu kila mara.



©Mjumbe Blog Volunteers

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top