TEMBELEA MAKUMBUSHO YA CHIMBUKO LA BINADAMU,ARUSHA ILI UJIJUE! Bofya Picha Hapa!
Lango kuu la kuingilia Makumbusho ya Historia
Pichani ni aina ya Ndege waitwao greenshank wapatikanao nchini Scandinavia,Kila mwaka zaidi ya ndege 300,000 Hukamatwa kila mwaka na kuvalishwa pete za Makumbusho watokao,Iwapo Utakutana na ndege huyo amekufa basi tuma Pete hiyo makumbusho ya Sweeden.
Pichani ni muhifadhi ndani ya Maabara ya akiolojia ndg Aloyce Mwambwiga akitoa maelekezo ya baadhi ya mabaki ya kale yaliyopo katika Makumbusho hayo
Pichani ni ni baadhi ya mabaki ya kale yanayo patikana maeneo mbalimbali ya nchi yaliyo hifadhiwa ndani ya Makumbusho kama rejea ya Watafiti mbalimbali.
Ni katika makumbusho yanayo patikana Boma lililo wahi kutumiwa na wajerumani enzi ya Utawala wao Amablo kwa sasa hutumiwa na Wahifadhi wa Kumbukumbu kama Makumbusho ya Taifa,Mkoani Arusha.
Ni miongoni mwa makumbusho ambayo yamesheheni utajiri mwingi wa Kumbukumbu na hifadhi ya Mabaki,Tamaduni,Mfumo wa maisha,Vifaa na dhana mbalimbali za kale ambazo zime patikana baada ya kufanyika utafiti.
WOTE MUNAKARIBISHWA
KAMA HAUJUI ULIKOTOKEA BASI,HUWEZI JUA UNA ELEKEA WAPI!
***********************************************************************************************************************************************************************************************************************************************************************
PICHA NA MAELEZO MDAU WA MJUMBE BLOG.
ARUSHA,
JIJI.

Post a Comment