Okelo ni Miongoni mwa watu wanao tajwa kuwa waasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar,katika maandiko ya wana Zuoni Mbalimbali ambao Historia inajivunia kuwahi kuishi nchini nwetu.
Kwanini basi UKWELI UFICHWE? Ni hadithi ndefu mno...!
Ina anza hivi;
"...Kuna hadithi moja kutoka kwa Mwandishi mmoja maarufu aliwahi kusema kua,Kuna jamaa mmoja alisafiri safari ya mbali kwenda kuutafuta UKWELI! Huko ilikuwa ni safari ndefu na ngumu wala usiombe ukasimuliwa... Basi akafika katika duka wanalo uza UKWELI! Hapo alipewa Orodha ya gharama ya UKWELI kulingana na Vipimo! Muhudumu ali mwambia Gharama ya Ukweli nusu na robo tu! Lakini gharama ya ukweli Kamili haikuandikwa pale!! Robo ya UKWELI uta nyimwa cheo au Utashushwa cheo! Nusu utafukuzwa Kazi...
Jamaa aka mwita muhudumu aka mwambia Mimi nina tamani kujua gharama ya UKWELI KAMILI!! Muhudumu alimvutia ndani zaidi akamwambia GHARAMA YA UKWELI KAMILI NI KUUONDOA UHAI WAKO! Jamaa aliondoka bila Kuaga wala Kutizama nyuma...1
posted from Bloggeroid
Post a Comment