Unknown Unknown Author
Title: UMESIKIA HII KUHUSU KUANZA UKUSANYAJI WA KODI KWA WAFANYABIASHARA YA NGONO KWENYE MOJA YA HALIMASHAURI NCHINI?
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Halmashauri ya manispaa ya kinondoni imeanza kukusanya kodi kwa wanawake wanaofanya biashara ya ngono, kama sehemu ya kuongeza mapato yak...

Halmashauri ya manispaa ya kinondoni imeanza kukusanya kodi kwa wanawake wanaofanya biashara ya ngono, kama sehemu ya kuongeza mapato yake. Kwa mujibu wa kamati ya bunge ya serikali za mitaa (LAAC) wanawake wanaotozwa kodi hiyo ni wale wanaofanya ukahaba katika maeneo ya Manzese uwanja wa fisi. Hata hivyo kamati hiyo ya Bunge imepinga hatua ya baadhi ya watendaji wa manispaa hiyo wanaokwenda katika eneo hilo kwa ajili ya kukusanya kodi kwa wanawake hao, kwani kufanya hivyop ni makosa. Akizungumza mwishoni mwa wiki, Mwenyekiti wa LAAC, Rajab Mohamed, alisema kutoza kodi hiyo ni sawa na kuhalalisha biashara hiyo haramu. ___________________________________________________________________________________________________________________________________________________________ Credit:EATV

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top