Unknown Unknown Author
Title: PICHA TANO:UKARABATI WA STENDI KUU BORA YA MBALIZI~MBEYA UMEFIKIA HAPA!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Pichani ni mwonekano wa Lango la kutokea Stendi ya Mbalizi kama linavyo Onekana Pichani ni Madimbwi ya maji ya mvua yanavyo tuama msimu h...

Pichani ni mwonekano wa Lango la kutokea Stendi ya Mbalizi kama linavyo Onekana
Pichani ni Madimbwi ya maji ya mvua yanavyo tuama msimu huu wa masika Nusu ya kipande cha Stendi kilicho bakia
Nusu ya eneo la Stendi ya Mbalizi ni udongo na madimbwi
Nusu ya eneo la Stendi kuu ya Mbalizi,Mbeya limesha karabatiwa kama linavyo onekana pichani na lina endelea kutumika na wasafiri kama kawaida. _______________________________________________________________________________________________________ Picha Zote Na MJUMBE MTAZAMAJI

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top