Unknown Unknown Author
Title: TASWIRA PICHANI:UKIFIKA MBEYA NA HAUJA WAHI FIKA HAPA! WEWE HAUIJUI MBEYA YENYE WANAMBEYA HALISI!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Pichani ni mita chache tu kutoka lilipo jengo jipya la soko kuu Mwanjelwa! Ni miongoni mwa sehemu ambayo huuza bidhaa kwa bei inayo wiana...

Pichani ni mita chache tu kutoka lilipo jengo jipya la soko kuu Mwanjelwa! Ni miongoni mwa sehemu ambayo huuza bidhaa kwa bei inayo wiana na vipato vya wananchi wa Tanzania tulio wengi... Pana itwa MFIKEMO! Hapo mwenye maisha ya kawaida yeyote yule anapafahamu vema!! Unaweza uka kutana na Kiatu cha elfu tano... Ni hapa ili useme ume fika Mbeya halisi lazima Upite pite kwenye vikolido vyake! Kufanya Window shoping...! Ni hapa unapo weza ukakutana na wana Mbeya halisi. ___________________________________________________________________________________________________________________________________________________________ Picha Na Mtembea Bure

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top