Unknown Unknown Author
Title: WATUMIE MABINGWA HAWA:KWA BUSTANI YA MICHE,MAUA NA MATUNDA! MBEYA WAPO HAPA KWETU!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Pichani ni Mwonekano wa Bustani ya Miche ya Miti,Matunda na Hata maua kama inavyo onekana katika Kijiji cha Mlowo,Mbozi Mbeya Mandhari i...

Pichani ni Mwonekano wa Bustani ya Miche ya Miti,Matunda na Hata maua kama inavyo onekana katika Kijiji cha Mlowo,Mbozi Mbeya
Mandhari ina vutia mno kwa kuitazama kutokana na usanifu wa wataalamu wa Bustani wanao jishughulisha na kupendezesha makazi yatu na kuya fanya yarudishe uasili na Ukijani
Mandhari asilia ikiwa ime pandwa maua hupendeza na kuvutia kwa watazamaji
___________________________________________________________________________________________________________________________________________________________ Picha Zote Na MJUMBE MTAZAMAJI,Mlowo;Mbeya

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top