Unknown Unknown Author
Title: MKISI WA JIMBO LA VWAWA 'MAKAMANDA MUWA PUUZE WANAO ZUSHA KUWA NATUMIKA NA CCM'!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Ndugu Fanuel Mkisi Pichani Mgombea ubunge jimbo la vwawa kwa tiketi ya CHADEMA "Makamanda kuna maneno yana sambazwa na baadhi ya wa...

Ndugu Fanuel Mkisi Pichani Mgombea ubunge jimbo la vwawa kwa tiketi ya CHADEMA


"Makamanda kuna maneno yana sambazwa na baadhi ya wapiga dili ndani ya chama eti wana sema mimi nina tumika na CCM,eti wana sema nakaa vikao na CCM mpemba.Muwa puuze maana watu hao hawana kazi ya kufanya walikua wana lelewa na moja ya watia nia nabaada ya mtia nia huyo kushindwa kwenye kura za maoni sasa wana haha..."
Kime kaririwa chanzo chetu hicho.

Kume kuwepo na hali ya sinto fahamu ndani ya CHADEMA kabla ya kura za maoni ambapo zaidi ya watia nia 27 walijitokeza kuomba ridhaa kwa wajumbe ili wapewe fursa ya kupeperusha bendera ya CHADEMA jimbo la Mbozi ambapo baadaye jimbo liligawanywa na Tume ya uchaguzi na kutengeneza jimbo la Mbozi na Jimbo la Vwawa....


Ambapo walio ibuka na kura nyingi kutoka jimbo la Mbozi alikuwa PASCAL HAONGA na jimbo la vwawa aling'ara Fanuel Mkisi na kuwa acha watia nia wenzake kwa kura kadhaa.

Kishindo hicho cha ushindi walio jizolea watia nia hao kime geuka gumzo ndani na nje ya majimbo yao.
Ambapo walikuwa wakipewa nafasi za kupeperusha bendera zao hata kabla ya kura za maoni kufanyika kutokana na kazi,harakati na mapambano waliyo yaonyesha katika kukieneza chama chao.Jambo lililo fanya wajizolee wafuasi wengi na kugeuka watu wenye ushawishi mkubwa ndani ya majimbo yao.

Wakijinasibu baada ya kuibuka washindi kwenye kura za maoni ulio fanyika wiki lililopita wote wame kuwa wakijihakikishia ushindi zidi ya mahasimu wao kisiasa chama tawala.
Kama kamati kuu itawapa baraka zote za kuanza mbio za kuelekea chimwaga.


Picha Mali ya ofisi/Maktaba za MJUMBE BLOG.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top