Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museven, amewashangaza wakazi wa Wilaya ya Wakiso baada ya kusema hakuwa akijua timu ya Taifa ya Uganda inaitwa The Cranes.
Kwa mujibu wa gazeti la Daily Monitor, umedai kuwa Museven miaka yote amekuwa akidhani ‘The Cranes’ ni ‘Club inayojitegemea, mpaka juzi alipotambulishwa jina hilo la utani la timu yao ya taifa.
Post a Comment