Picha juu Mh. Rais Dk. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli mapema leo wakifanya Usafi maeneo ya Feli.
Pichani
chini ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mh.Jakaya Kikwete na Mkewe Mama
Salma Kikwete wakiwa wameitikia wito wa Mh.Rais wa kuadhimisha Uhuru
wetu kwa kufanya usafi na kuipenda Tanzania yetu,
Je wewe umeitikia wito wa Mh.Rais, umefanya usafi maeneo gani ?
Via DSTV(P.T)
Post a Comment