Kazi zisizotarajiwa za BIA!!
1, Unywaji wa bia unasaidia mwili kuondoa mawe ya figo, sababu pombe inaweza kupanua mishipa ya damu kwenye figo na kibofu cha mkojo.
2, Kusafisha nywele na bia kunasaidia afya ya nywele kutokana na Vitamin na Protini bia iliyo nayo.
3, Kuondoa kutu. Mwaga bia kidogo kwenye parafujo zinazoshikana kutokana na kutu, zitafunguka baada ya dakika chache.
4, Kusaidia kuondoa doa ya kahawa.
HATA HIVYO:unywaji mzuri wa pombe ni kati ya bia chupa 2 hadi 4 kwa wanaume na bia 2 hadi 3 kwa akina mama ndani ya siku moja .
Credit:
Post a Comment