Nime ipakua kwenye Ukuta wa Julius Mtatiro:
Isome na wewe;
NI RONALDO HUYU HUYU??
Gazeti la the Sun la Uingereza limeripoti kuwa mshambuliaji mahiri wa Madrid, Christiano Ronaldo - huwenda akawa kwenye mahusiano yanayoudhi jamii nyingi pamoja na imani mbalimbali za kidini (Mahusiano ya jinsia moja).
Hivi karibuni Ronaldo amekuwa akitumia ndege yake mpya kabisa kusafiri walau kila wiki kwenda nchini Morocco (akitokea Hispania) ili kuonana na rafiki yake wa karibu Badr Hari ambaye ni mchezaji maarufu wa Kick Boxing.
Klabu ya Real Madrid inachukizwa na namna ambavyo anatumia kila muda wa mapumziko wa wikend au katikati ya wiki kusafiri hadi Morocco na kurejea usiku, Madrid ina wasiwasi kuwa hali hiyo imeanza kuporomosha kiwango cha uchezaji cha Ronaldo.
Kuna mambo hapa duniani huwa yanaudhi sana, unampenda sana mchezaji na unamshabikia sana halafu baadaye unakuja kuambiwa umshabikiaye "Si Rizki"....
Mimi ni kati ya watu waliokuwa wanampenda sana mshambuliaji huyu. Nasikia mapenzi yote yameporomoka na sitapenda tena kumuangalia akiwa na Madrid uwanjani.
Mtatiro J.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.