Pichani ni Bi Harusi Theofrida Msafiri Elius Mnegena akiwa katika kupata picha ya kumbukumbu na wadogo zake walio jitokeza kumsindikiza
Pichani juu ni ndugu,Jamaa na Marafiki walio jitokeza kumpokea dada yetu Theofrida alipo wasiri katika familia ya akina Mnegena jana mida ya mchana.
Familia ya akina Mnegena ikiwa imesha chukua nafasi katika Ukumbi wa TUGHIMBE Mafiati Mbeya katiak hafla fupi ya kuwa aga vijana wao wapendwa.
Pichani ni sehemu ya umati wa Ndugu jamaa na marafiki walio jitokeza kuwaunga mkono vijana wao walio amua kuachana na ukapela rasmi ndugu Msafiri Elius Mnegena na Bi Theofrida Mbella Ngaya katika ukumbi wa THUGIMBE uliopo mafiat Mbeya.
Pichani ni Bwana Msafiri Mnegena na Bi Theofrida katia nyuso za tabasamu kwa waalikwa wao wakiwa wamesha chukua nafasi zao katika ukumbi wa TUGHIMBE ulipo mafiati Mbeya.
Pichani ni Mr na Mrs Mnegena wakiwa wanalishana keki kama ishara ya Upendo mbele ya waalikwa jana jioni kwenye Ukumbi wa TUGHIMBE uliopo mafiat Mbeya.
Pichani ni Bi Theofrida Alipo kuwa akijaza rasmi cheti cha ndoa jana mchana katika kanisa la kisabatho lililopo Mabatini jijini Mbeya mbele ya mashuhuda walio jitokeza.
NIMEKUWEKEA HAPA PIA PICHA ZA JINSI THEOFRIDA ALIVYO AGWA NA WANAFAMILIA NYUMBANI KWAO MLOWO MBOZI,MBEYA SIKU YA JUMANNE TAREHE 01 DISEMBA 2015!
Pichani ni Theofrida Mbella Ngaya alipo wasiri katika ukumbi wa Vwawa Day,Mbozi jioni,Jumainne Disemba Mosi 2015
Pichani ni Bi Theofrida Mbella alipo kuwa akimtafuta Bwana Msafiri Mnegena ili kumtambulisha kwa waalikwa walio jitokeza katika ukumbi wa Vwawa day siku ya Jumanne 01 Disemba
Pichani ni Bi Theofrida Mbella na Msafiri Mnegena wakiwa wanapita mbele ya ndugu jamaa na Marfiki walio jitokeza kuwa aga rasmi katika ukumbi wa Vwawa Day siku ya Jumanne 01 Disemba 2015
Pichani ni Bi Theofrida Mbella alipo kuwa akisakata lumba na walio msindikiza mbele ya ndugu jamaa na marafiki katika Ukumbi wa Vwawa day jumanne 01 Disemba 2015
Pichani ni Benedictor Mbella,kaka ya Theofrida katika tabasamu murua kama ishara ya kumuaga dada yake mpendwa jioni ya jumanne 01 Disemba 2015
Pichani ni dada mtu anaitwa Sara Mwashilindi akiwa ameungana na wanafamilia wenzake ukumbini kumuaga mdogo wake Theofrida katika ukumbi wa Vwawa day jumanne 01 2015
Pichani ni Mheshimiwa Pascal Yohana Haonga Mbunge wa Jimbo la Mbozi akiwa ame wasiri ukumbini Vwawa day na kuungana na familia ili kumuaga mdogo wake Theofrida Mbella.
Mpiga picha wetu wa MJUMBE BLOG ndugu Elasto Mbella akiwa ana wasiri ukumbini tayari kwa ajili ya kuweka kumbukumbu sahihi ya tukio la dada yake mpendwa Bi Theofrida Mbella kusherehekea siku yake ya harusi jana katika ukumbi wa TUGHIMBE mafiat jana.
NENO LA SHUKRANI:
FAMILIA YA MBELLA NA MNEGENA wanapenda washukuru ndugu,jamaa na Marafiki walio jitokeza kumsindikiza binti yao Mpendwa Theofrida Mbela.
Hakuna neno lenye maana zaidi ya shukrani.
UMOJA NI NGUVU.
Zaidi:Tuendelee kushirikiana zaidi katika shida na raha kwani huo ndio mfumo wa maisha ya Mtanzania huo ndio UTANZANIA.
KUSAIDIANA,KUWEZESHANA,KUPENDANA NA HATA KUPONGEZANA katika mema na mafanikio.
Mwisho MJUMBE BLOG ina watakia kheli na fanaka tele Bi Theofrida Mbella na Bwana Msafiri Mnegena katika siku zao za usoni.
MUNGU awabariki.
Picha zote na Mpiga picha wetu.

Post a Comment