Unknown Unknown Author
Title: MAMBO SITA USIYO YAJUA KUHUSU NDEGE YA MALAYSIA ILIYO POTEA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kuna mambo ambayo watu hawaja fahamishwa kuhusu ndege ya shirika la ndege la Malaysia(Malaysia Air Line),safari namba flight 390 ambayo i...

Kuna mambo ambayo watu hawaja fahamishwa kuhusu ndege ya shirika la ndege la Malaysia(Malaysia Air Line),safari namba flight 390 ambayo imepotea ikiwa eneo la juu ya bahari katika Ghuba ya Thailand na watu 239.
Ndege hiyo aina ya Boeng 777 iliyo toweka jumamosi asubuhi iliyopita na kuto onekana  mpaka ime wababaisha wataalamu wengi wa masuala ya anga.
Baadhi ya maambo ambayo wengi wetu hatukuyajua kuhusu ndege hiyo ni kama yafuatayo!

1.Ndege zote za boeing 777zina kisanduku maalumu cha kutunza kumbukumbu za mawasiriano ya marubani wa ndege na waongoza ndege walio aridhini(black Box),ambacho hakiwezi kuharibika katika mlipuko wowote unao weza kutokea ndani ya ndege

2.Kijisanduku hicho (black Box) kina nguvu ya kurusha mawimbi kuonesha kilipo kwa muda wa siku 30 baada ya kuangukia baharini.

3.Sehemu nyingi za ndege zilizo halibika za ndege huwa zina elea juu ya maji baada ya ndege kuangukia majini au baharini.Lakini katika Tukio hilo hakuna kilicho onekana mpaka sasa.

4.Iwapo kombora lingepiga ndege hiyo basi kombor hilo linge onekana katika vyombo vya uchunguzi ya kijeshi na kiulinzi wa safari za anga.

5.Pamoja na eneo ambalo ndege hiyo ilikata mawasano kufahamika wataalamu wameshindwa kujua iko wapi.

6.Iwapo Flight 370 ilitekwa isingeacha kuonekana kwenye vyombo vya kudadisia nyendo za vyombo vya anga.
HITIMISHO:Ndege hiyo ya boing 777 haikulipuka angani bali ilipotea.
Chanzo:Wall Street Jounal

MJUMBE Sr

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top