Unknown Unknown Author
Title: UKITOA NANASI,PEAZI,NDIZI NA MTUNDA KADHAA,HILI NDILO TUNDA LINGINE LISILO KUWA NA MBEGU NDANI!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Pichani ni Tunda ambalo Halina Mbegu ndani,Tunda Hili Hupandwa Vijijini kama Sehemu ya Ua ama Kukazia Wigo wa Nyumba. Hutambaa Kuzunguka wi...
Pichani ni Tunda ambalo Halina Mbegu ndani,Tunda Hili Hupandwa Vijijini kama Sehemu ya Ua ama Kukazia Wigo wa Nyumba. Hutambaa Kuzunguka wigo na nyumba Busika na Baadaye Hutoa Matunda ambayo Unaweza Kula kama Kitafunwa wakati wa kufungua Kinywa! Tunda Hili Lina Itwa Mapogolo,Yamepandwa Zaidi katika Kijiji Cha Ulembwe,Ludewa Mpakani na Mkao wa Ruvuma au mto Ruhuhu pia Ukibahatika Kutafuta kwa Bidii Katika Kijiji cha Amani Unaweza Kuyapata! Tume amua kuliweka Hapa Ili Kutoa jibu La Swali lililokuwa likiulizwa Mara kadhaa Mitandaoni kuwa "KAMA KWELI WEWE UNA ISHI KIJIJINI TAJA TUNDA AMBALO HALINA MBEGU/PEKE NDANI UKITOA NANASI,PEAZI,NDIZI,....! UTAFITI WA TUNDA HILO UME FANYWA NA TIMU NZIMA YA MJUMBE BLOG! PICHA NI KWA HISANI YA MJUMBE BLOG PIA. MAONI,USHAURI NA PINGAMIZI WatApp 0752025002 Wenu Katika Ujenzi wa Jamii Mpya MJUMBE

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top