Papa FrancisPapa Francis ametumia sherehe za kuupokea mwaka wa 2015 kuzungumzia tatizo la rushwa katika mji wa nyumbani wa Rome nchini Italia.Akizungumza katika Kanisa kuu la St. Peter Basilica, papa…
TASWIRA HARISI PICHANI:AIRASIA QZ8501 MIILI YAANZA KUWASILI INDONESIA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Wanajeshi wakiwa wamebeba miili ya mwanzo ya watu waliokufa katika Ndege ya AirAsia. MIILI ya mwanzo ya watu wawili waliokuwa kwenye Ndege ya AirAsia QZ8501 imewasili leo jijini Surabaya, Indonesia a…
KUMRADHI KWA PICHA:APIGWA RISASI NA ASKARI AKIJARIBU KUWATOROKA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mtuhumiwa wa Madawa ya kulevya amepigwa risasi na kufa papo hapo kufuatia kutaka kutoroka Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Mwendelezo: Mdau Fikiri Liganga, anadai: "Inasikitisha sana. Niliku…
HIVI NDIVYO WASHITAKIWA MAUAJI YA MVUNGI WAMEZUA KIZAAZAA MAHAKAMANI!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Dar es Salaam. Washtakiwa 11 wa kesi ya mauaji ya kukusudia ya Aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk. Sengondo Mvungi wamegoma kushuka kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu …
UTAFITI KUHUSU ATHARI ZA CHUMVI KWENYE CHAKULA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Moja ya vitu ambavyo vimekuwa muhimu kwenye chakula cha mwanadamu ni chumvi ambayo hutumika kuongeza ladha ya chakula ambacho hutumika mezani . Umuhimu wa kiungo hiki umefikia hatua ya waswahili kui…
TASWIRA MBALIMBALI:BAADA YA MVUA KUBWA KUNYESHA DAR SI SALAMA TENA!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mvua kubwa iliyonyesha leo maeneo kadhaa ya jiji la Dar es Salaam imesababisha usumbufu kwa wakazi wa jiji... Nipo Makumbusho...Mvua kubwa inaendelea kunyesha hapa..Jirani kwetu kijitonyama mvua imen…
WANAFUNZI WANGU HAWA:NILI WASISITIZA WASI KARIRI NINACHO WAFUNDISHA...!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Pichani ni wanafunzi wa kidato cha kwanza wakiwa darasani katika moja ya shule nchini.Wakiwa katika hatua za awali kabisa za kuunda maana ya neno HISTORIA!!! ________________________________________…
NGEGE YA INDONESIA YAENDELEA KUTAFUTWA LEO NA MAAFISA WANASEMA HUENDA IMEANGUKA BAHARINI....
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Shughuli ya kutafuta ndege ya AirAsia ambayo ilipotea jana Jumapili imeendelea leo tena baada ya kusitishwa kwa muda. Watu 162 walikuwa kwenye ndege hiyo wakati ikipoteza mawasiliano na kituo cha kue…
MTI SHAMBA HUU!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Naam;Mti mkavu hau chimbwi dawa.. Nilisha wahi kusema kuwa Kujua huu mti ulichimbwa dawa ni rahisi,Lakini kujua ni dawa ipi ambayo hutokana na mti husika ni suala lingine kabsa!! Hili kuna wazee weny…
HUYU NDIYE MWANA CCM MPYA ALIYE TANGAZA NIA YA KUWANIA KITI CHA URAIS!!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mbunge wa Singida Kaskazini, Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu ametangaza rasmi kuwania Urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu mwakani. Amesema amechukua uamuzi huo baada ya kuona kwamba…
BABU KINYOZI ANAYE MILIKI MAGARI 75!! Sitori nzima Bofya hapa!!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
New Delhi. Mfanyabiashara Leonard Willoughby aliwahi kusema; ‘siku utakayoanza kuishi kwa kuifuata mipango yako unayopanga, kila kitu katika maisha yako kitabadilika kabisa.’ Inawezekana watu wengi w…
KUHUSU NDEGE YA INDONESIA ILIYOPOTEA LEO;INDONESIA YASITISHA UTAFUTAJI..
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Airasia iliotoweka Indonesia imesitisha utafutaji wa ndege ya AirAsia hadi kesho iliopotea na takriban abiria 160 waliokuwa wakielekea Singapore kutoka mji wa Surabaya nchini Indonesia. Ndege za kije…
PATA RATIBA YOTE NA TASWIRA JINSI SUGU ALIVYO TIKISA JIMBO LA MWAKYEMBE 27 DISEMBA 2014!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Umati ulio jitokeza kumu sikiliza Mhe.Joseph Mbilinyi mbunge wa Mbeya Mijini Katika jimbo la kyela Baadhi ya wanachi wakiwa wame shikiria mabango yenye ujumbe kumu elekezea Mbunge huyo SUGU akiongea …
AJALIIII:FERI YA ABIRIA 460 YASHIKA MOTO!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Amri imetolewa ya kuwataka abiria kuondolewa kwa ferry iliyo na karibu abiria 460 ambayo ilishika moto ilipokuwa safarini kutoka nchini Ugiriki kwenda Italia. Abiria waliokuwa kwneye ferry hiyo wali…
PICHA ZAIDI YA KUMI ZIARA YA KUWA ONA WATOTO YATIMA MBOZI MISION YAFANIKIWA TENA!! TAZAMA ILIVYO KUWA HAPA!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Wapendwa.... Nashindwa nianzie wapi kusema haya niliyoyapanga kuyasema...I am speechless!!! Daaaah.... Namshukuru saana Mungu kwa ukuu wake kwa kutupa pumzi hadi sasa..hakika hatuna cha kumrudishia..…