Unknown Unknown Author
Title: PICHA:JE STORI YA KUFYEKWA KWA EKARI ZAIDI YA 200 NAMBINZO MBOZI ILIKUFIKIA? NIME KUWEKEA HAPA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Pichani ni mwananchi akitoa ufafanuzi wa jinsi wahifadhi wa pori la Isaralo walivyo fika mashambani hapo na kuanza kufyeka mahindi ya wan...
PICHA:JE STORI YA KUFYEKWA KWA EKARI ZAIDI YA 200 NAMBINZO MBOZI ILIKUFIKIA? NIME KUWEKEA HAPA!

Pichani ni mwananchi akitoa ufafanuzi wa jinsi wahifadhi wa pori la Isaralo walivyo fika mashambani hapo na kuanza kufyeka mahindi ya wanakijiji hao. Pichani ni mmoja wa wa athirika wa ufyekaji wa ma…

Read more »
06 Jan 2016

Unknown Unknown Author
Title: ZIJUE SABABU ZILIZO MFANYA MKURUGENZI WA MALI ASILI ASIMAMISHWE KAZI NA PROF.MAGHEMBE!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Sehemu ya wajumbe wa kikao hicho wakimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembe. Waziri wa Maliasili na Utalii Pr...
ZIJUE SABABU ZILIZO MFANYA MKURUGENZI WA MALI ASILI  ASIMAMISHWE KAZI NA PROF.MAGHEMBE!
ZIJUE SABABU ZILIZO MFANYA MKURUGENZI WA MALI ASILI ASIMAMISHWE KAZI NA PROF.MAGHEMBE!

Sehemu ya wajumbe wa kikao hicho wakimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembe. Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembe amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Mipango na M…

Read more »
05 Jan 2016

Unknown Unknown Author
Title: BOMOA BOMOA DAR YASIMAMISHWA...!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
BOMOABOMOA KINO YASIMAMISHWA: Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi  imetoa uamuzi wa kuitaka serikali kusimamisha zoezi la bomoabomoa kwa baadhi ...
BOMOA BOMOA DAR YASIMAMISHWA...!
BOMOA BOMOA DAR YASIMAMISHWA...!

BOMOABOMOA KINO YASIMAMISHWA: Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi  imetoa uamuzi wa kuitaka serikali kusimamisha zoezi la bomoabomoa kwa baadhi ya wakazi wa Kinondoni. Uamuzi huo umetolewa baada ya wananc…

Read more »
05 Jan 2016

Unknown Unknown Author
Title: UKATILI:AMKATA MAPANGA MAMA YAKE KISA UBWABWA...!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mtoto amuua mama’ke kisa wali MOROGORO: Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni! Kijana Said Ally Mwinyimvua anashikiliwa na Jeshi la ...
UKATILI:AMKATA MAPANGA MAMA YAKE KISA UBWABWA...!

Mtoto amuua mama’ke kisa wali MOROGORO: Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni! Kijana Said Ally Mwinyimvua anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro akidaiwa kumuua kwa kumcharanga mapanga m…

Read more »
04 Jan 2016

Unknown Unknown Author
Title: VYETI 1808 VYA KUGUSHI VILITUMIKA KUOMBA KAZI 2010/2015 KATIKA TAASISI ZA UMMA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
DAR ES SALAAM Sekretarieti ya ajira kwa watumishi wa umma imefanikiwa kukamata vyeti 1,808 vya kugushi vilivyotumika kuombea ka...
VYETI 1808 VYA KUGUSHI VILITUMIKA KUOMBA KAZI 2010/2015 KATIKA TAASISI ZA UMMA!
VYETI 1808 VYA KUGUSHI VILITUMIKA KUOMBA KAZI 2010/2015 KATIKA TAASISI ZA UMMA!

DAR ES SALAAM Sekretarieti ya ajira kwa watumishi wa umma imefanikiwa kukamata vyeti 1,808 vya kugushi vilivyotumika kuombea kazi katika taasisi mbalimbali za umaa kati ya mwaka 2010 hadi 2015. Sekre…

Read more »
04 Jan 2016

Unknown Unknown Author
Title: WAKUU WA SHULE LUDEWA WA AGIZWA KUKAA NA WAZAZI,KUJADILIANA NA WAZAZI MAHITAJI MUHIMU YA WANAFUNZI!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
wazazi na walezi wa shule za sekondari wilayani ludewa mkoani njombe wametakiwa kukaa na kujadili ni namna gani wanajipanga katika ku...
WAKUU WA SHULE LUDEWA WA AGIZWA KUKAA NA WAZAZI,KUJADILIANA NA WAZAZI MAHITAJI MUHIMU YA WANAFUNZI!
WAKUU WA SHULE LUDEWA WA AGIZWA KUKAA NA WAZAZI,KUJADILIANA NA WAZAZI MAHITAJI MUHIMU YA WANAFUNZI!

wazazi na walezi wa shule za sekondari wilayani ludewa mkoani njombe wametakiwa kukaa na kujadili ni namna gani wanajipanga katika kuongeza kiwango cha elimu kufuatia agizo la mh, rais wa jamhur…

Read more »
04 Jan 2016

Unknown Unknown Author
Title: AJALI DAR ASUBUHI YA LEO!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
‪#‎ HABARIZAHIVIPUNDE‬ : Watu kadhaa wanasadikiwa kupoteza Maisha na wengine kujeruhiwa kufuatia ajali ya Basi la abiria la Kampuni ya L...
AJALI DAR ASUBUHI YA LEO!
AJALI DAR ASUBUHI YA LEO!

‪#‎HABARIZAHIVIPUNDE‬: Watu kadhaa wanasadikiwa kupoteza Maisha na wengine kujeruhiwa kufuatia ajali ya Basi la abiria la Kampuni ya Luwinzo linalofanya safari zake Dar es Salaam na Njombe kuligonga …

Read more »
04 Jan 2016
 
Top