Unknown Unknown Author
Title: RAIS KIKWETE AMJULIA HALI MZEE HASHIM MBITA NA MBUNGE DONALD MAX!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mbunge wa Geita Donald Max aliyelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili leo jioni.Rais Ki...
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mbunge wa Geita Donald Max aliyelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili leo jioni.Rais Kikwete akiwa hospitalini hapo alimjulia hali pia Brigedia Jenerali Mstaafu Hashim Mbita aliyelazwa hospitalini hapo(picha na Freddy Maro).
01 Jul 2014

About Author

Advertisement

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top