Pichani ni Umati wa Watanzania ambao wamekuwa wakifuatilia moja kwa moja Sakata la ESCROW la baadhi ya Viongozi wa dini na Wale wa Kisiasa walio tajwa na CAG kuwa walijiingizia fedha ya Umma kwenye akaunti zao zilizo chotwa ili Wazitakatishe.
Sakata la ESCROW ni Miongoni mwa Mijadala ya vikao vya bunge kwa mwaka 2014 iliyo Vuta usikivu na Kugusa hisia za Wana nchi walio wengi.
Huku wakifuatilia kupitia vyombo mbali mbali vya habari na hata Umeme ulipo katwa wengine walijitolea Kuwasha jenereta ili wasipitwe na Mjadala hu
Baadhi ya Wananchi Walikaririwa waki sema....
'.... safi sna hata sisi huku saa tano nilisikia shangwe nikajua tumevamiwa kumbe bhana watu wameshangilia kuhusu mbowe safi sana kamanda...
.....Waliumia sana watu walipo ona Muhongo ana mtetea waziri Mkuu,lakini ili lipuka shangwe pale baada ya Kamanda Mbowe kusema "ni bora awa achie waharalishe huo Uharamia.."
Umati ulio kuwa una fuatilia Mjadala huo kupitia Luninga Ulisimama na kuanza kushangilia na kucheza kama Wabunge wa UKAWA...
... Inamaanisha huoni kuwa ni watz wanaangalia bunge kupitia luninga
...kwa hili na mm nina amani maana ndo ilikuwa siku yangu ya kwanza kuingia bungeni kwa mwliko wa (mb )esther so nilifurahishwa sana pale wabunge wa ukawa walivyo kuwa wakiimba vijana tusilale a maana wao hawalali sasa ni mapambano. Hivyo naomben vijana muwe makin na watu wanaobebana kakt ufisadi....!
Credit:Picha na Mhere Mwita.
LIKE ukurasa wetu MJUMBE BLOG facebook ili Ujipatie Update za Mambo mbali mbali yanayo endelea nchini na nje ya nchi kila mara.
©Mjumbe Blog Volunteers
Post a Comment