
waziri wa mali asili Lazaro Nyarandu ame sema serikari ime kubali kuidhinisha ujenzi wa serikari ya kitalii pembezoni/Jirani na kingo mwa Kreta ya ngoro ngoro ambayo mwanzoni ilikuwa imepigwa maruduku kufanyika kwa Ujenzi
Ujenzi wa hotel hii ulianza miaka tisa iliyo pita na uli idhinishwa na kwakuwa serikari ni moja lazima tuheshimu makubaliano;Lakini miradi mingine mipya ambayo watu wengine wame omba pembezoni mwa kreta Haturuhusu"
Like MJUMBE BLOG facebook au Tutembelee mtandaoni Andika MJUMBE BLOG kisha ingia hapo Upate Picha,Matangazo,Habari Mpya,Habari Muhimu kila mara.
©Mjumbe Blog Volunteers
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.