Unknown Unknown Author
Title: UVUMBUZI WA TEKNOLOJIA YA VCARDIN's WAMPA MEDALI MTOTO WA KIKWETE!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Khalfan Kikwete amejishindia medali ya dhahabu nchini marekani kwenye shindano la Genius Olympiad.Ni shindano pekee la shule za kimataifa k...

Khalfan Kikwete amejishindia medali ya dhahabu nchini marekani kwenye shindano la Genius Olympiad.Ni shindano pekee la shule za kimataifa kuhusu maswala ya sanaa,sayansi na mazingira,Khalfan alikuwa na mwenzake Seif Yahya Mhata walivumbua kadi ya kibiashara itakayo tumika kwenye kizazi cha smart phone katika programu za mitandao ya jamii kwenye simu. VCARDIN’s jina la application hiyo ambayo itawasaidia wafanyabiashara kupata ukaribu na wafanyabiashara wenzao duniani hasa wa kizazi kipya.
01 Jul 2015

About Author

Advertisement

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top