Vijana wa siku hizi wanaita 'full suti' makazi ya mwananchi wa Ndezi kama yalivyo kutwa na kamera yetu septemba 2015
Pichani ni nyumba za nyasi katika moja ya vijiji vya kata ya Isansa Mbozi kama vilivyo naswa kwenye kamera na moja ya wadau wetu(pichani ni ndugu Gwamakha Mbughi akitembelea nyumba kwa nyumba kuwa hamasisha wana nchi kujitokeza kupiga kura siku ya Oktoba 25)
Pichani ni nyumba nyingine ya Nyasi katika jimbo la Mbozi(Pichani ni ndugu Gwamakha Mbughi akitembelea nyumba kwa nyumba kuwa hamasisha wana nchi kujitokeza kupiga kura siku ya Oktoba 25)
Si kwakushabikia wala kuegemea upande...
Niseme tu kuwa sikuwahi kufikiria kukutana na nyumba za nyasi katika kata ya Isansa...
Kata ya Isansa imewahi kuwa kata yenye vijiji vya ujamaa vya mfano tangia enzi za Mwalim Nyerere.
Ime wahi kuwa kata ya mfano kitaifa pia...
Wakazi wake wengi wanajishughulisha na kilimo,
Kilimo cha zao la kahawa kama zao la biashara na mazao mbalimbali ya chakula.
Nime iishi Isansa miaka kadhaa Isansa niliyo ijua mimi niyenye makazi ya nyumba za bati zenye tofali za kuchomwa.nyingi zilikuwa zime ezekwa kwa bati...
Tangia mwanzoni mwa miaka ya tisini nyumba za nyasi zilikuwa zinatoweka kwa kasi mno...!
Haikuwa rahisi hata kwa kijana anapo jenga bweni tu kufikiria ajenge nyumba iliyo ezekwa kwa nyasi.Sidhani kama kuna kijiana alikuwa akifikria hivyo.
Hamadi hivi juzi nikiwa katika kata ya ITUMPI/ISANSA katika kijiji cha Iyenga Ndezi nilikutana na makazi mengi ya wakijiji hao yakiwa yame ezekwa kwa nyasi...
Hili lilinistua nasema lilinistua kwasababu sikuwahi fikiria kama zama hizi kuna kijiji chenye nyumba za nyasi nyingi kuliko zilizo ezekwa kwa bati katika kata ya Isansa.
Narudia tena;
Katika zama hizi sikutegemea kama katika kata ya Isansa kuna kijijichi ambacho nyumba za wakazi wake zilizo nyingi zime ezekwa kwa nyasi.
Ni nyumba za Mpito...!
Sio zile za kudumu tena.
Tatizo ni nini?
Hata mimi sijui.
Ndiyo;nina sema sijui.
Tuta futaje basi ili nyumba zilizo ezekwa kwa nyasi kijijini Iyenga/Ndezi zitoweke?
Hili nalo sijui!
Kama yupo anaye jua tusaidiane.
MJUMBE Sr

Post a Comment