Unknown Unknown Author
Title: HIVI NDIVYO DK. ABDALLAH KIGODA ALIVYOAGWA KATIKA VIWANJA VYA KALIMJEE
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Tanzania, Dk. Abdallah Omar Kigoda uliwasili jana October 14 2015, kutoka India ambako Waz...







Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Tanzania, Dk. Abdallah Omar Kigoda uliwasili jana October 14 2015, kutoka India ambako Waziri huyo alifariki wakati akipatiwa Matibabu.

Mwili ulihifadhiwa katika Hospitali ya Kijeshi ya Lugalo Dar e Salaam, leo October 15 2015 mwili wa Marehemu Dk. Kigoda umefikishwa katika Viwanja vya Karimjee Dar es Salaam ambapo watu mbalimbali wakiongozwa na baadhi ya Viongozi wa Juu wa Serikali, ndugu na jamaa wametoa heshima za mwisho na kumuaga Marehemu Kigoda, safari ikaanza kuelekea Tanga kwa ajili ya Mazishi.


.


Baadhi ya Viongozi waliohudhuria kuaga Mwili wa Dk. Kigoda, yuko Mzee Ali Hassan Mwinyi, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Makamu wa Rais Dk. Gharib Bilal, Spika wa Bunge Mama Anne Makinda, Mzee Benjamin Mkapa, Balozi Ombeni Sefue, na Mama Anna Mkapa.


Hawa nao ni waombolezaji wengine pia.


Mwili wa Dk. Kigoda ukaingizwa ndani ya Ukumbi kwa ajili ya kuagwa.


.


.


.


.


.


.


Makamu wa Rais Dk. Gharib Bilal akitoa heshima za mwisho.


Waziri Mkuu Mizengo Pinda akitoa heshima za mwisho.


Spika wa Bunge anayemaliza muda wake, Mama Anne Makinda.


Rais Mstaafu, Mzee Ali Hassan Mwinyi.


Rais Mstaafu Mzee Benjamin William Mkapa.


Mama Anna Mkapa akitoa heshima za mwisho.


Mwanadiplomasia Dr. Salim Ahmed Salim.


Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania, Jaji Francis Mutungi akitoa heshima za mwisho pia.


Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue.


Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam, Said Meck Sadick.


.


.


.


.


.


Mbunge wa Temeke, Abas Zuberi Mtemvu akisalimiana na mmoja wa waombolezaji.

Mwenyezi MUNGU ampumzishe kwa amani Dk. Abdallah Omar Kigoda.. #RIP
15 Oct 2015

About Author

Advertisement

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top