Dr SENGONDO MVUNGI;AFARIKI DUNIA!!!!
Aliye kuwa mjumbe wa tume ya mabadiliko ya katiba na Mwalimu wa Sheria Sengondo Mvungi Amefariki jana Katika hospitali yaMilpark aliyo kuwa ana tibiwa huko Afrika kusini.James Mbatia amethibitisha.
KARIBU MJUMBE BLOG UWE WA KWANZA KUHABARIKA
Post a Comment