Unknown Unknown Author
Title: KAMATI KUU YA CHADEMA YAWAVUA VYEO KITILA MKUMBO NA ZITTO KABWE
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kikao cha Kamati kuu kime fikia uamuzi wa kuwa vua vyeo KITALA MKUMBO na ZITTO KABWE,Kueme kuwepo na minong'ono iliyo kuwa ikiendelea kw...
Kikao cha Kamati kuu kime fikia uamuzi wa kuwa vua vyeo KITALA MKUMBO na ZITTO KABWE,Kueme kuwepo na minong'ono iliyo kuwa ikiendelea kwenye mitandao ya kijamii na majukwaa mengi ya kisiasa ikiwahusisha baadhi ya wana chama wa CHADEMA na shutuma za kutaka kukipindua Chama na kukisambaratisha.Maamuzi yaliyofikiwa leo na kamati kuu ni kuwa vua vyeo baadhi ya makada wao walio kuwa wana husishwa na kashifa hizo.Taairifa zaidi enendeelea kutufuatilia
Na:Sr
Amani Ville

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top