Unknown Unknown Author
Title: MBEYA CITY:USHINDI LAZIMA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Klabu ya Mbeya City imezidi kujivunia mashabiki kila uchao Kwa kuibuka kidedea kila baada ya dakika tisini! Ni timu iliyo panda daraja mwaka...
Klabu ya Mbeya City imezidi kujivunia mashabiki kila uchao Kwa kuibuka kidedea kila baada ya dakika tisini! Ni timu iliyo panda daraja mwaka jana na kuanza kufanya miujiza ambayo haikutegemewa na wengi....., Kuna mashabiki wame sahau kuuliza imefungwa magoli mangapi? Bali wana uliza Imefunga Mangapi? Eenhe! Unataka ujue matokeo ya leo? Soma upya Pale juu.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top