Polisi Zanzibar wame wakamata maafisa wawiliwa TRA wakihusishwa na meno ya tembo ya sh.7.4b yaliyo naswa Malindi juzi.Idadi hiyo inakamilisha watuhumiwa kufikia wanne.
Polisi pia wame thibitisha kuwa kampuni iliyo jaribu kusafirisha meno ya tembo hayo ni ya mkobani,haina ofisi wala Anuani.
MENO YA TEMBO:MAAFISA WAWILI TRA MBARONI Z'BAR
Title: MENO YA TEMBO:MAAFISA WAWILI TRA MBARONI Z'BAR
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Polisi Zanzibar wame wakamata maafisa wawiliwa TRA wakihusishwa na meno ya tembo ya sh.7.4b yaliyo naswa Malindi juzi.Idadi hiyo inakamilish...
Post a Comment