Unknown Unknown Author
Title: RAPPER IZZO BIZNESS ALIZWA NA WAHUNI;WAVUNJA INTERNET CAFE YAKE
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mkali huyo wa mziki wa kufoka anaye miliki internet cafe iliyopo eneo la chuo kikuu Teofilo Kisanji,Main Campus Mbeya.Amejikuta katika hali ...
Mkali huyo wa mziki wa kufoka anaye miliki internet cafe iliyopo eneo la chuo kikuu Teofilo Kisanji,Main Campus Mbeya.Amejikuta katika hali ya sinto fahamu baada ya Ofisi yake hiyo kuvunjwa na Kompyta sita kuibiwa.
Amewaomba raia wema kutoa taarifa pindi watakapo mwona ama kusikia mtu mtu ana uza Kompuyta kwa njia zisizo halali.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top