TANZANIA HAINA MPANGO WA KUJIONDOA JUMUIYA YA AFRIKA YA MASHARIKI!!!
Kutokana na minong'ono iliyo zidi kuwepo kuhusu Tanzania kuendeleza uhusiano na Jumuiya hiyo ama la,Rais wa jamuhuri wakati akilihutubia bunge la jamuhuri jana alikata mzizi huo wa fitina kwa kusema kuwa kama Tanzania hatuna mpango huo bali tuta ufanya uzidi kustawi.Kauri ya Rais ina kwenda tofauti na mapendekezo ya wadau wengi walio pendekeza Tanzania ijitoe,baada ya kuhisi kama ina baguliwa na nchi wana chama.
Post a Comment