UKATILI SUMBAWANGA;KICHWA CHAOKOTWA!!!!!
Kichwa cha mwendesha pikipiki ama boda boda aliye chinjwa Sumbawanga Juma nne usiku.Kimeokotwa leo kisiwani mjini hapo RPC Rukwa Jakobo Mwaruanda athibitisha.
KARIBU MJUMBE BLOG UWE WA KWANZA KUHABARIKA
Post a Comment